Mkuu wa mkoa wa Dar essalaam Paul Makonda leoFebruary 8 2017 amesimama mbele ya Waandishi wa habari kwenye awamu ya pili ya ishu ya dawa za kulevya na kutaja watu mbalimbali wanaotakiwa kufika Polisi Ijumaa kwa ajili ya mahojiano kwa ishu za dawa za kulevya.Wakati akitaja list hiyo,Paul Makondaametumia time yake kumpongeza Mwimbaji wa bongofleva TIDkwa kukiri kuwahi kutumia dawa za kulevya na kuomba msaada wa Serikali kusaidiwa kuachana na matumizi yadawa izo.Haya ndio aliyoyasema Makonda >>> “Asante kwa mtu kama T.I.D, nawapongeza kwa kukiri na kusema kuwa wanatambua namna walivyoingia kwenye utumiaji wa dawa za kulevya na kuomba serikali kuwasaidia kuachana nazo“

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni