Kimchupa MediaTz

NYUMBANI KWANZA

HEADLINE


https://a.msn.com/54/en-us/ct-6.7963,39.2847?weadegreetype=F&ocid=msedgntp

Jumatano, 8 Februari 2017

MANJI ATANGAZA KUMFUNGA MAKONDA


Hii ndio Kauli ya Mañji kwa Makonda

Manji:[/B] Kifungu cha 66 katika katiba kinaeleze haki zangu na kufungu 32 pia. Vinanilinda.

[B]Manji: [/B]Nataka nimshitaki Mahakamani na vyombo vyote vilivyoandika kunituhumu na madawa.
[B]
Manji: [/B]Kesho naenda Polisi asubuhi nihojiwe baada ya hapo naanza kutafuta haki yangu. Huwezi kuniita kaka huku unanitaja kwenye mambo mabaya.
[B]
Manji:[/B] Wapo watu kwenye mtandao wameanza kuandika vitu, Alichofanya mkuu wa mkoa ni kosa siwezi kukubali.
[B]
Manji:[/B] Na Wanayanga kama mnaona mimi sifai na kama hamna imani na mimi hata kesho naondoka Yanga. Siwezi kuchafua Club kubwa.
[B]
Manji: [/B]Kwanini RC Makonda hajamuita Askofu Pengo au Mashehe wamsaidie?
[B]
Manji:[/B] Hiwezi kuniita mimi kama mbwa njoo, Hii ni kutafuta masifa. Kesho utanikuta mimi kwenye gazeti na wengine 65 watasahaulika. Hii sio haki.
[B]
Manji: [/B]Zipo njia za kushughulikia vitu, Tukienda Comoro tunaenda na bendera ya Tanzania.

[B]Manji: [/B]Kama unataka msaada omba msaasa sio unaagiza msaada, Unaniita na watu 65 nikae kwenye foleni, watu 65 watamaliza saa ngapi? Saa tano usiku nitoke? Sina kazi nyingine za kifanya?
[B]
Manji: [/B]Yupo mzee mmoja na wenyewe mnamjua, alinitukana nikamdai shilling moja. Unanihusisha mimi jina langu nloachiwa na baba kwenye huu upumbavu halafu unathubutu kiniita kaka yako?


Hakuna maoni: