Beyonce katika pozi za kuonyeaha mavazi
Hii imetokea Jana huko Marekani huku washiriki wote wakiwa na furaha Beyonce Rihanna na Kimrdashan

Ambao hao walikua ndio washiriki wenye mvuto mkubwa kwa watazamaji
ambapo wengi ya washiriki walokua kwenye hilo shindano walikua sio wabunifu wa mavazi lakin kati ya
Beyonce Rihanna na Kimrdashan
hawandio walikongo nyoyo za watazamaji walokua kwenye
utazamaji
BY KIMCHUPA ON THE BEAT.
WWW.KIMCHUPAONTHEBEAT.BLOGSPOT.COM
kimchupa.simple.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni