Kimchupa MediaTz

NYUMBANI KWANZA

HEADLINE


https://a.msn.com/54/en-us/ct-6.7963,39.2847?weadegreetype=F&ocid=msedgntp

Jumatano, 6 Mei 2015

Ina sikitisha Pia na Kufurahisha Kijana Daniel Atembea kutoka Sumbawanga mpaka Dar Es Salaam Kwa migua kisa Bofya hii link Kujua

Hii ndio mizigo alio toka nayo Sumbawanga
Huyu ndiye Daniel
Baada ya kumaliza mahojiano nae
Akitoka kuelekea Mtaan
Kijana Daniel Mwenye miaka (25) alianza safari tarehe 1/4/2015 kutoka Sumbawanga kuja dar  ameingia dar jana siku ya tarehe 6/5/2015 

kwa maelezo yake Daniel anasema kua amekuja dar.kutafuta maisha.maana maisha Sumbawanga ni magum sana 

KIMCHUPA ON THE BEAT imekutana nae huyu kijana Daniel leo Asubuhi na tulimkuta akiwa na godoro lake na vibeg viwili ndipo ametumbia kua anaomba msaada kwa yeyote atakae kua na kazi yeyote ile na atafanya ili mladi mkono upate kuingia kinywani


Kwa maelezo ya mwisho anaomba kua atakae kua na kazi yeyote ile 
au Msaada wowote

apige simu namba
+255768682597

Hakuna maoni: