tangaza+nasi

NYUMBANI KWANZA

HEADLINE

https://a.msn.com/54/en-us/ct-6.7963,39.2847?weadegreetype=F&ocid=msedgntp

Jumapili, 29 Oktoba 2017

Nelly Kazikazi ashinda taji la Miss Higher Learning 2017

1

Miss Higher  Learning 2017, Nelly Kazikazi, akipunga mkono kwa furaha akiwa na washindi wenzake baada ya kutangazwa rasmi na kuvishwa Taji katika shindano la Miss Vyuo Vikuu lililofanyika usiku wa kuamkia jana kwenye Ukumbi wa King Solomon Namanga Dar es Salaam. Kulia ni mshindi wa pili, Queen Elizabeth Makune (kushoto) ni mshindi wa tatu,  Melody Thomas.