JOSEPH JOHN Ni Baada ya kimya cha Muda mrefu mwimbaji wa nyimbo za injili ndugi Joseph John Amesemavkwama KWA SASA NIKO KWENYE FINISHINGYA VIDEO YANGU MPYA AMBAYO NIMEFANYA NA BONY MWAITEGE .anenfelea kusema piaMASHABIKI WA MUZIKI WA INJILI MTEGEMEE KITU KIZURI NA CHENYE KUIFANYA KAZI YA BWANA ISONGE MBELE
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni