Kimchupa MediaTz

NYUMBANI KWANZA

HEADLINE


https://a.msn.com/54/en-us/ct-6.7963,39.2847?weadegreetype=F&ocid=msedgntp

Jumamosi, 16 Julai 2016

Hukumu Ya Ngoma Mpya ya NAY WA MITEGO #PALE_KATI_PATAMU

Leo Tarehe 16/07/2016 Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) Wametangaza kuifungia nyimbo mpya ya msanii wa Bongo Fleva Nay Wa Mitego inayokwenda kwajina la Pale kati Patamu kwa kua na maadili yasio ya kitamaduni yetu ya Tanzania Cover ya Nyimbo Imewadhalilisha wanawake na pia Nyimbo yenyewe ni yenye matusi.

Hakuna maoni: