
wanataka kuufungia wimbo wangu mpya "viva roma viva" kisa tu nimeongea ukweli Roma ameongeza kwa kusenma naumia sana tatamani kulia kisa kuona ukweli unafichwa uongo unaachwa hadharani. alipost kwa maaikitiko makubwa jana baada ya muda mchache tu kutoka kwa wimbo huo ambao steshen nyingi za radio zimeshindwa kuupiga zaidi ya east africa radio kupiga vesi moja tyu na kutoa kisa katoa maneno makali sana kwenye huo wimbo
ROMA ANASEMA HATAKAMA ILA KWAMTAA KIMENUKA SANA.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni