Shilole afunguka haya baada ya kusemekana amepata ajari sikuu ya Jana tarehe 4/8/2015 shilole ameandika haya Leo asubuhi tarehe 5/8/2015 amesema kua ➕↔▶◀➡HELLOW AFRICA NA MASHABIKI WANGU MIMI NI MZIMA WA AFYA NAMSHUKURU MUNGU NA NIPO NYUMBANI MDA HUU SIJAPATA AJALI WALA SIJA SAFIRI NI UZUSHI WA WATU TU NAWAPENDA SANA TUOMBEANE UZIMA NA SI MAUTI NA NINAJUA NIMEKUMBWA NA MATATIZO MENGI ILA SIO KWA KUZUSHIWA KIFO INAUMA SANA NA ALIE SAMBAZA UJUMBE HUO SIJUI ANANIA GANI NA MIMI ILA MUNGU BADO ANANIPENDA.
shilole

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni