Obama (kushoto) Kenyatta(katikati) Michelle Obama (kulia) Baada ya kupokelewa na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta (picha na ikulu kenya)
Nahii ndio ndege alio shuka nayo OBAMA kwenye Ardhi ya Kenya Ndege hizi Ndio zile ukisikia Air Force One Ndio alio tua nayo Obama . Baada ya kumaliza ziala yake nchin kenya anatarajia Kuelekea makao makuu ya Umoja wa Aftica Adsia Baba maana inavyo semekana hajawahi kwenda huko Makao Makuu Ya Africa.
©2015
abellykelvin4@gmail.com


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni