
Jeshi la police nchin limeamua kutoa donge NONO la shilingi MILIONI 50 kwa atakaye jua au kufahamu mahali au eneo walipo Majambazi hao
CHANGAMKIA FULSA HIYO NI KIASI CHA PESA NYINGI ZILIZO TANGAZWA INGIA MZIGONI KUSAKA WALIFU ILI UJIPATIE MKWANJA WA MAANA.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni