Alikiba amemshirikisha DAVIDO Kwenye ngoma yake mpya inayo kuja karibuni hilo lime thibitishwa na davido alipo kua akizungumza na wandishi kwenye tuzo za MTVMAMA kua kolabo hiyo iko njiani kuingia kwa mafans wa muziki Mzuri

©2015
nifollow Instagram kupata mastor yote
instagram.com/kimchupa_official_page
abellykelvin4@gmail.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni