Kimchupa MediaTz

NYUMBANI KWANZA

HEADLINE


https://a.msn.com/54/en-us/ct-6.7963,39.2847?weadegreetype=F&ocid=msedgntp

Ijumaa, 12 Juni 2015

Ray C alia machozi hii leo Baada ya Kukosa Dawa ndani ya kituo Cha Dawa Mwana nyamara

Ray C baada ya kukosa madawa atoa machozi kwa uchungu mkubwa alia kama mtoto mdogo wa miaka miwili asema kua mifupa mwili na kila kiungo kina muuma anauliza kua Je arudie tena kuvuta madawa au maana anatoka Bunju mpaka mwananyamara lakini kumpa dawa wanamzungusha kila siku kumpa hizo dawa kukosa hiz dawa zinamfanya aumie anaumia sana kwa ajili ya kukosa dawa alianza dozi vizuri lakin kufikia Mwaishoni tu Ndo matatizo yote yanatokea kwanini  Why. anauliza Ray C kwa uchungu mkubwa sana ndani ya moyo wake


©2015
Wasiliana nasi kupitia 
abellykelvin4@gmail.com
WhatsApp +255657409743

Hakuna maoni: