Kimchupa MediaTz

NYUMBANI KWANZA

HEADLINE


https://a.msn.com/54/en-us/ct-6.7963,39.2847?weadegreetype=F&ocid=msedgntp

Jumatatu, 22 Juni 2015

Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi ( SUGU) Amempandisha Kizimbani Mke Wake

Sugu ampandisha kizimbani Faiza Ally Mwanamke ambae amezaa nae mtoto Mmoja
Jana faiza akiongea kua kisa ni mtoto na kwa Madai Ya Sugu anadai kua mzazi mwenzie ambae ni Faiza kua hana malez bora ya mtoto maana mzaz huyo mwezie hana Maadili Mazur kwenye jamii maana anacho ogopa SUGU Ni Kua Mtoto asije aksiga tabia za mama yake

Hakuna maoni: