Rose Ndauka amethibitisha hilo kupitia kipindi cha Friday Night ikinacho rushwa EATV Kupitia East Africa Radio baada ya sammisago kumuliza swali Rose kua Shetta amemjua kwa kipindi gani Rose akajibu kua Shetta amemjua kabla ajaanza kuimba wala yeye kuigiza Kwa kauli hiyo inaonyesha kua Rose Ndauka na Shetta ni wapenzi wa Muda Mrefu kabla ya mama cayra kumjua Shetta Mzee wa Shikorobo.
©2015
Kwa mawasiliano na kupata mastor mabli mbali na mahabari yote muhimu
jiunge nasi kupitia facebokook.com/kimchupakelvin
Twitter.com/@kimchupa1992
whatsapp +255657409743
au
kimchupaonthebeat.blogspot.com
au
abellykelvin4.blogspot.com
kwa habari zote za dini tufuate kupitia
njoonikwabwana.blogspot.com
Email_abellykelvin4@gmail.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni