Chanzo chetu cha habari imepata kubain kua huyu marehem IDD alikua ni wakala wa Airtel wilayan Kilombero

Na inasemekana kua Airtel walikua wana mkopesha vocha za milion tano saba mpaka kumi lakin ikifika mwisho wa siku anarejesha deni na kukopa tena
Ndipo baada ya Airtel kuona muda umepita.wa Deni lao kurejeshwa
ikabidi Airtel wafunge safari kutoka makao makuu Dar es salaam Mpaka
>>>>Morogoro>>>>>
ndan ya mkamba Uwanja wa Fisi
lakin kwa habari za chanzo chetu cha habar ni kwamba walichokiongea
Airtel na huyo Marehem haikujulikana
NDIPO MPAKA SIKU YA LEO IMETOKEA
JAMAA KUKUTWA CHOON AMEJINYONGA HUKU IKISEMEKANA ALIANZA KUNYWA SUMU KABLA YA KUJINYONGA
MIPANGO YA MAZISHI YAMEENDA KUFANYIKIA IFAKARA KILOMBERO
MAREHEMU AMEACHA MJANE NA
WATOTO.
©2015
Posterd by Kimchupa On The Beat
•®•
kwa matangazo mbali mbali wasikiana nasi kupitia
+255657409743
abellykelvin4@gmail.com
WhatsApp namba +255657409743
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni